Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta aliyeshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza barani Afrika aliwasili jijini Dar usiku wa kuamkia leo majira ya saa na nusu.
Licha ya kuwasili usiku kulikuwa na umati wa mashabiki pamoja na wazazi wake, viongozi wa TFF, wizara ya michezo, waandishi, mbunge Zuberi Zitto na wadau wengi waliofika mapema uwanja wa ndege tayari kwa kumpokea Samatta.
0 comments:
Post a Comment