Soko la kilombero la Jijini Arusha ni miongoni mwa masoko makubwa Tanzania na Afrika Mashariki yanayohudumia jiji la Arusha mikoa na nchi jirani licha ya changamoto kubwa za miundo mbinu na utendaji kulikumba soko hili.
tunaifurahia kazi yetu inayotupa kipato halali ndiyo maana tunatabasamu licha ya ugumu wa kazi hii |
Bwana Ally wa kushoto na bwana Saidi kulia wakitafuta namna ya kuinua kiloba cha udongo maarufu kama chakula ya wamama |
hekaheka za kuyatafuta maisha bora sokoni kilombero jijini Arusha |
Daah ndo tunamalizia kazi |
Fanya haraka ndugu tukachukue kazi nyingine huenda haya yakawa mawazo ya vijana hawa |
wanawake hawakubaki nyuma tazama mama huyu aliyejitambulisha kama mama Najma akiwa tayari kuwapokea wateja wake |
0 comments:
Post a Comment