WACHOKONOZICOM.BLOGSPOT.COM INAWATAKIA EID AL-ADHW-HAA NJEMA
Tunawatakia eid njema yenye baraka na siha njema wafuatiliaji wote wa blog yetu uipendayo tutaendelea kuwa pamoja katika kulifikisha taifa hili mahala salama zaidi.
UJUMBE
Tuendelee kushikamana katika kamba ya mwenyezimungu na wala tusifarikiane.Tunawapenda wote.

0 comments:
Post a Comment