Angalia taswira za Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar. Chanzo Mo blog
Wasomaji wa Maulidi ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yaliosomwa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.
Wageni waalikwa mbali mbali wakiwa katika Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment