Usiku wa December 9 ilipigwa michezo nane ya UEFA Champions League kukamilisha hatua ya makundi, baadhi ya timu zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo huku nyingine zikiwa zimeng’oka kama si kutupwa nje.
Haya hapa matokeo ya mechi zote zilizochezwa usiku wa December 9 huhitimisha hatua ya makundi kabla ya kuanza kwa hatua ya mtoano.
Timu ambazo zimefanikiwa kutika hatua ya 16 ni pamoja na; Real Madrid, PSG, VfL Wolfsburg, PSV Eindhoven, Atletico Madrid, Benfica, Man City, Juventus, FC Barcelona, Roma, FC Bayern Munich, Arsenal, Chelsea, Dynamo Kiev, Zenit St P na KAA Gent.
Chanzu Shafii Dauda
0 comments:
Post a Comment