Tanzania imeingia kwenye headlines katika vyombo vya habari mbalimbali baada ya kupata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliyeapishwa leo kwenye uwanja wa Taifa
Katika sherehe hizo za kuapishwa kwa rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Marais kutoka nchi mbalimbali walidhuhuria akiwemo, Jacob Zuma, Robert Mugabe, Kenyatta, Paul Kagame, Yoweri Museven
.
Dk.Magufuli wakati akila kiapo
Bendera ya awamu ya nne wakati inashushwa
.
Rais anayemaliza muda wake Jakaya Kikwete akikagua gwaride kwa mara ya mwisho
.
Dk.Magufuli akisaini hati ya kiapo
.
.
Dk.Magufuli akikagua Gwaride kwa mara ya kwanza
Marais wa nchi mbalimbali wakiwa na mwenyeji wao Jakaya Kikwete
Kikundi cha ngoma kikitoa burudani kwa wageni waalikwa
Kutoka kushoto ni makamu wa Rais mstaafu Gharib Bilal, Rais wa Rwanda Paul Kagame, Yoweri Museven, Robert Mugabe na Jakaya Kikwete.
.
Dk.Magufuli akisalimiana na mama Salma Kikwete
.
Dk.MAGUFULI wakati akitoa hotuba kwa mara ya kwanza akiwa Rais
Wageni waalikwa
.
.
0 comments:
Post a Comment