Hizi picha ni mkusanyiko wa matukio makubwa matatu Tanzania leo November 6 2015… Rais John Pombe Magufuli tayari kaanza kazi !!
Naanza na pichaz za Rais Mstaafu JK alivyoagwa Ikulu kwenda Kijijini kwao Msoga, Chalinze.
bye1
Rais JPM akimsindikiza JK huku akiwaaga baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu.
bye4
Safari inaendelea nje ya geti la Ikulu kuelekea kwenye Helikopta.
bye8
Hapa ni picha moja ya Rais JPM siku ya kwanza Ofisini kwake, Ikulu Dar es Salaam.
4-IMG_7282
Rais JPM siku ya kwanza Ofisini kwake, Ikulu Dar es Salaam.
Hapa ni picha kwenye ziara yake ya ghafla aliyoifanya Wizara ya Fedha, Posta Dar es Salaam na kukuta baadhi ya wafanyakazi hawapo.
4-IMG_7358
Rais JPM akisaini kitabu cha wageni Wizara ya Fedha Dar.
7-IMG_7447
Hapa ni kwenye Kikao na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Fedha.

0 comments:

 
Top