Mtoa huduma ya  ufundi wa Intaneti yaTigo, Gloria Minja akitoa huduma kwa wateja katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.

    Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na wateja waTigo mara baada ya ufunguzi wa duka la Tigo lililokarabatiwa makao makuu ya Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha  wiki ya huduma kwa mteja.


     Sehemu ya wateja wa Tigo wa kipata huduma.

    Sehemu ya wateja wa Tigo wakisubiri huduma.

Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Makumbusho Gissela Akaro akimkabidhi mteja waTigo, Gideon Mapunda mkazi wa Mbezi Luis fulana ikiwa sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja

0 comments:

 
Top