Leo ligi kuu ya soka Tanzania bara imeendelea kwa michezo kadhaa kwenye viwanja kadhaa, ukiachana na mechi za Simba dhidi ya Stand United na ile ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar haya ni matokeo ya mechi nyingine zilizochezwa siku ya leo.
Azam FC 2-0 Coastal Union
Prisons 0-0 Mwadui FC
Maji maji 1-1 Ndanda FC
African Sports 0-1 Mgambo Shooting
Kagera Sugar 0-0 JKT Ruvu
0 comments:
Post a Comment