Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (alieketi katikati mstari wa juu) akifatilia
hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Jaji Mohamed Othman Chande
(aliesimama) wakati alipokwenda kuaga Mahakama. Hafla hiyo inafanyika
hivi sasa ndani ya Ukumbi wa Mahakama Kuu Jijini Dar es salaam. Wengine
pichani ni baadhi ya majaji pamoja Waziri wa Katiba na Sheria, Mh. Dkt.
Asha-Rose Migiro.
Sehemu
ya Majaji wa Mahakama Kuu wakifatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania,
Mh. Jaji Mohamed Othman Chande, wakati Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
alipokwenda kuaga Mahakama.
Sehemu ya Maafisa wa Mahakama.
0 comments:
Post a Comment