Afisa wa serikali amesema kuwa Israel iko tayari kuzidisha
kipindi cha kusitisha mapigano Gaza kwa saa kadha ili kupisha upatanishi dhidi
ya pande mbili hizo.
Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa saa 12 yanatarajiwa
kumalizika baada ya saa 2 za usiku za Afrika Mashariki.
Afisa huyo alisema muda huo huenda ukazidishwa kwa saa nne
hadi usiku saa sita za Mashariki ya Kati.
Wakuu wa afya wa Gaza wanasema raia zaidi ya 1,000 wa
Palestina, wengi raia, wameuwawa tangu mapigano ya sasa baina ya Israel na
Hamas kuanza.
Maiti zaidi ya 80 zimekutikana chini ya vifusi wakati
mapigano yaliposita.
Wanajeshi 40 wa Israeli wamekufa, pamoja na raia wawili na
mfanyakazi kutoka Thailand.
Wakaazi wa Gaza wameingia mabarabarani kuchukua nafasi ya
hali ya shuwari iliyopatikana
0 comments:
Post a Comment