#HABARI ZA HIVI PUNDE: Meli ya MV. Serengeti imekwama kufika Bukoba kutokana na kupata hitilafu katika propera zake, na inadaiwa kuwa ilipita eneo zilipotegwa nyavu na kusababisha taabu.
Meli hiyo ilianza safari ya Mwanza - Bukoba jana jioni na kwa kawaida ilipaswa iwasili Bukoba saa 12 asubuhi ya leo.
Tayari Kampuni ya MCS imetuma wazamiaji eneo la tukio kuoangalia namna ya kunusuru abiria.
Tutawaletea taarifa zaidi
AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOGU HII,UNAWEZA KUTOA MAONI YAKO PIA
0 comments:
Post a Comment