Chelsea 3 - 1 Sunderland
Pamoja na Ivanovic kufunga goli la kuongoza ktk dk ya 5 alipata mapokezi mabaya baada ya mashabiki wao wa Chelsea kuwazomea baadhi ya wachezaji.
mashabiki wa Chelsea walionyesha hasira zao uwanjani hapo kutokana na Kufukuzwa kwa aliekuwa kocha mkuu mreno Jose Mourinho.
nje ya uwanja mashabiki waliendelea kumsapoti Jose..
tazama matukio yote yaliyojili nje na ndani ya uwanja wa Stamford Bridge

0 comments:

Top