HATUA MUHIMU ZA KUFUATA SIKU YA KUPIGA KURA:
1. Ukifika kituo chako cha kupigia kura panga mstari, isipokuwa walemavu, wazee, wajawazito na wanaonyonyesha wao watapewa kipaumbele.
2. Mkabidhi msimamizi wa kituo kadi yako ya kupigia kura ili
aihakiki.
aihakiki.
3. Msimamizi wa kituo atasoma jina lako kwa sauti ili Mawakala wote wa vyama vya siasa wasikie, wakiwa na shaka
wakuhoji.
wakuhoji.
4. Pokea karatasi tatu za kupigia kura, endapo wagombea wote
wanashiriki.
wanashiriki.
5. Nenda kwenye chumba cha kupigia kura ambako kuna faragha na
utulivu.
utulivu.
6. Kwa kila nafasi, weka alama ya vema kwa mgombea
unayemtaka na usiweke alama nyingine yoyote maana kura yako itaharibika.
unayemtaka na usiweke alama nyingine yoyote maana kura yako itaharibika.
7. Kunja na utumbukize kila karatasi kwenye sanduku husika;
urais, ubunge na udiwani.
urais, ubunge na udiwani.
8. Chovya kidole kidogo cha mwisho cha kushoto kwenye wino
maalum kisha wapishe wengine nao wapige kura yao
maalum kisha wapishe wengine nao wapige kura yao
SHARE na wengine wajue
0 comments:
Post a Comment