Mgombea ubunge wa ACT-Wazalendo katika jimbo la Arusha Mjini Estomih Mallah amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko KCMC, Moshi alikohamishiwa jana kwa matibabu zaidi.
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Shaaban Mambo amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema alipigiwa simu alfajiri leo na mtoto wa kiume wa marehemu kumweleza kuwa baba yao alikuwa amefariki dunia.
Nakumbuka moja ya ahadi zake Estomih ilikuwa ni kutetea wapangaji,machinga wenyeviti na makundi maalum Mola ailaze mahala pema peponi Amin.

0 comments:

 
Top