Awali ya yote nimshukuru mwenyezimungu mwingi wa rehma kubwa kwa ndogondogo kwa kunijaalia mimi pamoja na wadau wangu waliomaliza limu ya shahada ya kwanza toka Tumaini university Dar es salaam .

Hakika safari ilikuwa ni ndefu ikiwa na vikwazo vya kila aina lakini kwa uimara wtu pamoja na subira tumevishinda.Pongezi kwetu.

Nitaandaa jambo spesho kwa ajili ya hili endeleeni kufuatilia blog hii.Ahsanteni.

0 comments:

 
Top