Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga Enzi za Uhai wake
Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga (King Drew) ukiwa unawasili katika uwanja wa Mashujaa kwa ajili ya Ibada na Kutoa kutoa Heshima za mwisho
Ibada ikiwa inaanza Baada ya Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga kuwasili
Kwaya wakiwa wanaimba wimbo wao wakati wa kujiandaa na ibada
Familia,Ndugu wa karibu, pamoja na Viongozi Mbalimbali wa Serikali wakiwa katika ibada ya kumsindikiza Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga. (P.T)
TAFADHARI TOA MAONI YAKO HAPA