

.

Hapa ni Mwananyamala

Pembeni ya soko la Mwananyamala Dar, barabara ikiwa imeharibika

.

Eneo hili ni Makumbusho, barabara imeharibika

.

Hapa ni Makumbusho Dar, maji yamejaa barabarani

.

Bajaji ikiwa imekwama katika maji

Gari likijaribu kupita katika maji katika eneo la Makumbusho
PICHA KWA HISANI YA MILADY AYO
TAFADHARI TOA MAONI YAKO HAPA