linalonitatiza
Siku chache tu zimepita tangu serikali kuyafungia magazeti pendwa mawili Mwananchi na Mtanzania hili ni pigo kubwa sana kwa wapenzi wa magazeti haya pamoja na wadau wa habari.Nikiwa miongoni mwa waathiriwa napenda kujadili nanyi pamoja kwamba article 18 ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ilimaanisha nini kusema kila mtu anao uhuru wa kuzungumza,kutafuta habari,kisambaza nakujuzwa na vyombo vya habari bila kujali mipaka ya nchi?
1 comments:
hiki ni kizungumkuti katiba ijayo iwe suluhisho
Post a Comment